SIRI HUFICHULIWA NA
MJASIRI WOGA UKIKITHIRI.
MTUNZI: JOSEPH SAMWEL.
MAWASILIANO:
0764217244.
EMAIL:
josephsamwel484@gmail.com
SEHEMU YA KWANZA.
Yani siamini kama Martha dada na ndio namkosa hivi hivi na hiyo mimba huyo mtoto ataniita nani baba au mjomba.Haya maneno alijiuliza Vatican nje ya nyumbani kwao Martha huku machozi yakimtiririka huko ndani napo kila mtu kimya kilitawala Martha ndio kabisa alishindwa kuvumilia na kwenda kujifungia chumbani. Ilikua kama ndoto baada ya miaka 27 mzee Adam anakutana na bi Irene story inaanza hivi miaka 30 iliyopita ni furaha iliyoje kufika darasa la 5 baada ya kufanya mtihani wa darasa la 4 Adam amefaulu kwa maisha ya kijijini ukifika darasa la saba wewe unaheshimika sana na Adam alivyokua na akili we acha aliheshimika sana hadi kuletewa watoto awafundishe. Siku moja akiwa nyumbani mara hodi vuu haraka akanyanyuka Alikua akifuma mkeka wa makuti Shikamoo baba Irene alisalimia huku akisema baba na mama hawapo mzee Deogratius huku akicheka Hahaha sina shida nao mi nina shida na wewe huku akikaza mkono wake aliomshika Irene,
Adam: sasa mzee Deo kama hauna shida nao mi nikusaidie nini sasa kama kuoa mi bado mwanafunzi na Irene mwenyewe mtoto kwangu.
Mzee Deo: si hilo kwanza we bado hujawa mwanaume kamili vp kwani unaweza kusimamisha ndege acha utani Adam mi ninachotaka kusema ni kwamba dada yako huyu anafeli sana shuleni sasa wewe kwa kuwa una yaweza hebu mfundishe naye jamani nishachoka kumlipia ada ya darasa la nne wewe unafaulu ye anarudia mwaka wa pili sasa.
Adam:ha! kumbe hicho tu mzee hapa kafika we niachie hilo suala.
kwa kipindi hicho watu walisoma wakiwa na umri mkubwa Adam alikua na miaka 18 Irene naye ndio alikua anaibukia miaka 16. Sasa fisi kakabidhiwa bucha Adam kufundisha si ndio ikawa kufundishana Adam alitokea kumpenda Irene ila kumwambia ndio ilikua shughuli siku moja nyumbani akiwa anamfundisha Irene Adam akaanza
Adam:unajua Irene hizi hesabu za Kuzidisha ngumu sana( huku akimshika paja)
Irene: kweli ni ngumu ila hazifiki kwenye mapaja ya watu (Huku akiutoa mkono wa Adam mapajani kwake ) mi naona hesabu za leo zimenichanganya sana wacha niende kisimani na baadae nitakwenda mlimani kuchukua kuni nadhani leo jioni hatutasoma kazi nyingi sana nyumbani.
Adam(huku akinyanyuka) : we acha kujitesa mi nitakusindikiza nikusaidie ili umalize haraka au unasemaje
Irene:mhhhhh sawa basi nitakukuta hapa.

Kweli wakaenda hadi
kisimani na Adam alijituma balaa kubeba maji na kupeleka kwao Irene mara tatu
alipomaliza Irene alimuahidi watakutana jioni mlimani akamsaidie kukata kuni.
Adam kumbe kakazana kuchota maji kwa ajili ya Irene kasahau kwao daah alichapwa
fimbo sana na mama yake kisha babake naye alipo ambiwa tu na mama Adam zoezi la
fimbo likaanza upya. Adam akapewa kazi mara mbili achote maji na kukata kuni.
Huku akigumia maumivu akapita kwao Irene wakaenda mlimani kukata kuni. sasa
huko Adam si akaanza kuongea
Adam : unajua Irene huu mlima unatisha usiwe unakuja huku peke yako hadi uwe na mwanaume wa kukusindikiza kama mimi sawa.
Irene : sawa
Adam: halafu unajua kuna kitu nataka kukwambia je utakubali
Irene:we sema tu
Adam : we sema kwanza utakubali
Irene: bwana we kama hutaki kusema basi (huku
akijitwisha mzigo wa kuni)Adam : unajua Irene huu mlima unatisha usiwe unakuja huku peke yako hadi uwe na mwanaume wa kukusindikiza kama mimi sawa.
Irene : sawa
Adam: halafu unajua kuna kitu nataka kukwambia je utakubali
Irene:we sema tu
Adam : we sema kwanza utakubali
Adam: ahaaaa subiri sasa niseme unajua Irene yani mimi Nilikua noana hivi tutafute sehemu nzuri ya kusomea pale nyumbani mama ananisumbua sana mara anitume kisimani wala hata sikufundishi vizuri
Irene: kweli kabisa unajua hadi leo hesabu za kuzidisha sijazielewa tafuta sehemu nzuri tuwe tunasomea.
Adam: basi sawa nitatafuta vp umemaliza twende.
Irene: mi nakungoja wewe tu. Adam alipofika nyumbani haraka akaenda kwa kaka yake aitwaye Jimmy aliyekua na chumba au gheto akamwomba awe anasomea hapo kweli akakubaliwa usiku wake Adam kalala mara akaanza kuota ndoto Yupo na Irene mlimani wamekaa wakila maembe na wakipeana maneno ya mahaba Irene hakukaa sana akaaga anawahi kupika na kisha akamkumbatia Adam daaah Adam mwili ulimsisimka ghafla akasikia anaitwa Adam we Adam amka twende shule sauti ya Derick ilimtoa Adam ndotoni ghafla kuangalia kwenye shuka alishachafua na mlinzi naye kishapandisha mnara.Derick akaita tena Adam Adam:mhhh nani tena mapema yote hii (huku akificha shuka uvunguni)
0 comments:
Post a Comment