SIRI HUFICHULIWA NA
MJASIRI WOGA UKIKITHIRI.
SEHEMU YA 2
MTUNZI: JOSEPH SAMWEL.
MAWASILIANO:
0764217244.
EMAIL: josephsamwel484@gmail.com
Adam:mhhh nani tena
mapema yote hii (huku akificha shuka uvunguni)
Derick: ni mimi Derick numekupitia twende shule
Adam: Leo mbona mapema hivi au tuna zamu (akimfungulia Derick mlango)
Derick: mi nimeona bora tuwahi si unajua wiki hii zamu ya mwalimu mnoko anachapa kweli yule bora tumuwahi
Adam:sawa basi ngoja ninawe miguu na uso twende
Derick(akiwa amekaa kitandani ghafla) we Adam nini sasa hiki umefanya aisee mbona mlinzi ameenda mnara kiasi hicho.
Adam: Acha zako we hujui kama sasa hivi ni asubuhi ndio muda wake kwenda mnara.
Derick: ahahahaa ila sio kwa kiasi hicho au umeota ndoto pevu nini (huku akiangalia shuka lipo wapi) si akaliona uvunguni wacha amcheke akamwambia
Derick: Adam rafiki yangu umri wako unakwenda tafuta kipozeo angalia utakufa nacho.
Adam:Hahahaha hebu acha utani achana na hilo shuka nitafua baadae hebu toka mi ninawe.
Enzi hizo nyumba za tope sakafu mchanga kwa hiyo
walikua wanaogea humo humo ndani. Adam alikwenda shule na saa ya kutoka haraka
akawahi kumpitia Irene wakasome. Irene alimwambia Adam atangulie. Huko ghetto
Adam amekaa anapanga mipango ya kuua ndege siku hiyo Irene si akafika Adam
kachangamka anaona ng'ombe kaja mwenyewe machinjioni kumbe hakujua kama Irene
alikuja na celine mtoto wa mwalimu mkuu wa shule anayosoma Adam .Na Celine kwa
unoko hajambo mipango yote ya Adam ikafa sasa akafundisha ili mradi liende tu
.Celine yeye alisingizia hajui hesabu kumbe anataka kujua Adam na Irene kama
wana uhusiano na alifaulu kumdanganya Irene hadi wakaenda wote .Hiyo siku
ikapita na Adam akafeli mipango yake mara ya pili sasa hapo akanuia kabisa
kwamba lazima aue ndege siku hiyo mipango yake kidogo ifanikiwe alianza kwa
kumshika paja Irene anamkazia kama alielewa alichofundishwa Irene mtoto wa
kinyaturu Mungu alimzawadia weupe nyuma sasa kama palitengenezwa vile alikua na
mizunguko kama tikiti maji kubwa limekatwa katikati,kifua sasa Adam ndio
alidata zaidi ghafla si akamshika kiunoni haaa Irene akajiachia kabisa
kuonyesha ishara ya kumpa uhuru Adam ashike popote haraka bila kupoteza muda
fundi akuchezea spana Adam akapandisha sketi ndefu ya Irene hadi mapajani kwake
kisha si akashika ile nguo ya mwisho kuvuliwa kabla hajaivuta mshituko ghafla
haaaaDerick: ni mimi Derick numekupitia twende shule
Adam: Leo mbona mapema hivi au tuna zamu (akimfungulia Derick mlango)
Derick: mi nimeona bora tuwahi si unajua wiki hii zamu ya mwalimu mnoko anachapa kweli yule bora tumuwahi
Adam:sawa basi ngoja ninawe miguu na uso twende
Derick(akiwa amekaa kitandani ghafla) we Adam nini sasa hiki umefanya aisee mbona mlinzi ameenda mnara kiasi hicho.
Adam: Acha zako we hujui kama sasa hivi ni asubuhi ndio muda wake kwenda mnara.
Derick: ahahahaa ila sio kwa kiasi hicho au umeota ndoto pevu nini (huku akiangalia shuka lipo wapi) si akaliona uvunguni wacha amcheke akamwambia
Derick: Adam rafiki yangu umri wako unakwenda tafuta kipozeo angalia utakufa nacho.
Adam:Hahahaha hebu acha utani achana na hilo shuka nitafua baadae hebu toka mi ninawe.
0 comments:
Post a Comment