SIRI HUFICHULIWA NA
MJASIRI WOGA UKIKITHIRI.
SEHEMU YA 13
Siku ilifika kweli na Vatican alijipanga
kukutana na mrembo Martha kwanza akanunua chocolate ya arpella na maua ya
waridi mazuri kisha akavaa nguo zake mpyaa alizichukua hussein pamba kali ili
kumfurahisha Martha , Vatican alivalia shati ya mikoni mirefu nyeusi jeans yake
ya bluu saa nyeusi na kiatu cha clipper nyeusi Martha alinawiri vibaya mno kwa
kuvaa gauni la pink lililombana kwenye hips na lilikua fupi likiishia mapajani
na mkoba wa pink pia walikutana JB belmont hotel aisee Vatican alijitoa heri
amalize hela yake yote kuliko kumkosa Martha. Alipofika tu Vatican kwa mkwala
mara akatoa Ua kwanza na kumkumbatia huku akimvutia kiti akae kisha alipokaa tu
akampatia arpella ooh arpella I like it thank you alisema Martha , Vatican naye
hakusita kumsifia Martha kwa vazi lake alilokua amevaa ooh umependeza kweli
kweli zaidi hata ya malkia wa uingereza ( huku akitia nakshi nakshi maneno
yake) , ahsante , mnmmnmnh sijui utatumia nini leo soda, bia , maji ama nini ,
we mi bia situmii bado mtoto, mhhh kwani hua mnasema ukweli huku (akimuita
muhudumu) , nipatie Malta na huyu mrembo sijui hebu muulize , mi naomba alvaro
apple , wakaagiza kila walichokihitaji
hadi chakula kisha Vatican ndio akaanza kuongea. Jamaa Vatican alikua kajipanga aisee msosi ulikua wa maana sana hapa
chips, huku kuku, pale sandwich meza imechafuka vibaya kwa vinywaji nadhani
waliagiza ili wasirudie kabisa kwa kuwa ilikua ni vinywaji kama kumi kwa kila
mmoja Vatican naye sijui alijua mambo yote yataisha siku hiyo hiyo kwani alikua
tayari ameshalipia na chumba kwenye hotel hiyo haya sasa
ulikua ni muda wa kumwaga mchele kwa kuku kuona kama atakula ili kumkamata
kirahisi na kumchinjia mgeni.mambo yakaanza hivi kwa vatican , unakionaje
chakula , ooooh kiko poa kabisa , unajua hii hotel mi naiaminia hapa mjini ndio
inaongoza kwa msosi na huduma nzuri , hee kweli kabisa yani msosi wao hadi nime
enjoy kweli, kweli , vp we hua unapendelea nini , mhhhh mimi napendelea kusoma
kutoka out na marafiki kuchart na mhhh nadhani ndio hayo , kulala je
,hahahahaha (akacheka) that is a part of life , ahaaaa yah its true kweli ni
part of life , je vitu gani hupendelei ( huku akimuita muhudumu na kuagiza
mvinyo wa zabibu au red wine) , haaaaa wine ya nini tena ? , we subiri , kwani
we unakunywa wine , nitajaribu , mbona hapa ulikunywa marta au we mlevi
unanificha , hapana subiri nataka nijaribu leo , mhhhh mi simo wala sitatumia ,
ok turudi tulipokua nimekuuliza hupendelei , sipendi majungu uongo usaliti
nadhani hayo yanatosha , na kuhusu rangi whats your favourity colour , pupple ,
waaaaao puple nice , vipi una mpenzi , mmmmmmmmmh probably no mi bado mtoto
bwana , kwa hiyo bado, yah sure, kwani huna mpango wa kuwa naye ,labda baadae
nikikua kwani mama aliniambia sitakiwi kuwa na mchumba hadi nimalize shule
kwani aliniambia mapenzi yanaua na mimi sitaki kufa sasa hivi. Hayo yalikua ni
majibu ya kitoto ya Martha kwani hakujua chochote kuhusu mapenzi na alilelewa
familia yenye maadili mema Siku ilifika kweli na Vatican alijipanga

familia yenye maadili mema ya kikristo na hakuwahi kujifunza chochote kwani
kwao alikua geti kali yani kutoka nje ilikua ni kwenda shule au kanisani tu na
kurudi hivyo hakuwa na mazoea na watu zaidi ya wazazi wake. Vatican alikua bado
hajasema hasa nia yake kuu ila sasa aliamua kuonyesha upendo kwa njia nyingine
katika hotel hiyo siku hiyo kulikua na onyesho la wazi la wasanii wa kizazi
kipya, Vatican na Martha walikula na kunywa vinywaji vyao haraka haraka na
vinywaji vingine wakaacha si unajua kizungu zaidi hakuna kumaliza ili wahudhulie
onyesho hilo lililokua ndani ya ukumbi wa hoteli hiyo, kabla hawajaenda
waliingia kwanza kwenye chumba cha michezo huko Vatican hakuacha kuonyesha
ufundi wake huku akiwa amemkamatilia kiuno Martha. Vatican alimfundisha Martha
kucheza pool table, wakaenda kucheza mchezo wa magari ya kuteleza kurusha
vitufe (bowling) kulenga shabaa na michezo mingine mingi. Katika safari zote
zile Vatican alibeba DOMPO yake au wine aliyoagiza muda ule sijui nia yake
ilikua nini hadi kutembea nayo. Masaa yalikatika na ilikua inaelekea usiku hapo
wakaingia ndani ya club iliyokuwepo kwenye hotel hiyo ambapo ndio kulikua na
shoo wao walienda na kukaa peke yao kaunta ya juu kwenye makochi na kuanza
kuongea Vatican kwa uchokozi huku kamshika paja Martha kisha akaingia msanii kuimba
watu wakaanza kucheza Vatican alipomwambia Martha waende kucheza Martha
alikataa na kudai hajui kucheza hapo ndipo Vatican alipochukua jukumu la
kufungua kitoa aibu chake yani wine na kuinywa kidogo kisha akaingia dancing
floor kucheza Martha alicheka kwa staili alizokua anacheza Vatican yani ilikua
ni vituko hadi Martha akaona aibu na kuamua kwenda kucheza naye ayayayayaya
Vatican kama alifunguliwa upya na hivi mishipa ya aibu ishakata daaah alimbamba
Martha kiukweli kweli ulipofika muda wa muziki wa taratibu ndipo Vatican
akatingisha kiberiti ki hivi
ya kikristo na hakuwahi kujifunza chochote kwani

0 comments:
Post a Comment